Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

4
August 2025

Dkt. Kiwia awasiri Mtwara kwa Ziara

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ( HESLB), Dkt Bill Kiwia leo ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara.

Baada ya kuwasili mkoani hapo alifika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala kumsalimu pamoja kumwelezea ma ........

Read More
1
August 2025

Uzinduzi wa Maonesho ya Nanenane Dodoma Yafana - Makamu wa Rais Afungua Rasmi, HESLB Yashiriki

Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) kwa mwaka 2025 yamezinduliwa rasmi leo Agosti 1, 2025 katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, yakihudhuriwa na maelfu ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ame ........

Read More
1
August 2025

Viongozi wa ZHESLB Watembelea HESLB

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Zanzibar (ZHESLB) Prof. Mohammed Hafidh akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji  wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Zanzibar (ZHESLB) Bi Umrat Mohammed leo wametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wa ........

Read More
30
July 2025

Wazazi Bukoba Wajitokeza kwa Wingi Kupata Elimu ya Uombaji Mikopo

Wazazi na walezi wa mji wa Bukoba wamejitokeza kwa wingi leo (Jumatano, Julai 30, 2025) kupata elimu ya uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu Juu (HESLB) kwa kushirikiana na Benki ya CRDB na wadau wengine wa kimkakati.

........

Read More
28
July 2025

DC MKALIPA AZINDUA UTOAJI ELIMU YA UOMBAJI MKOPO MWAKA 2025/2026

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Mhe. Amir Mkalipa, leo ameongoza uzinduzi wa kitaifa wa zoezi la utoaji elimu kuhusu taratibu za uombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi Rock City Mall jijini Mwanza ........

Read More