Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

22
July 2022

DKT. FRANCIS AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI HESLB

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa utendaji kazi wenye matokeo, tija na ufanisi.

Dkt. Francis amesema hayo jana (Alhamisi Julai 21, 2022) wakati wa ziara yake y ........

Read More
12
July 2022

Prof. MKENDA: WAOMBAJI MIKOPO 2022-2023 SOMENI MWONGOZO

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewahimiza waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 kusoma na kuuzingatia ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa 2022/2023’ ili kuwasilisha maombi kwa usahihi.

Prof. Mkenda ameyasema hayo katika hafla fupi ........

Read More
6
July 2022

DIRISHA LA KUOMBA MKOPO KUFUNGULIWA KABLA YA JULAI 15

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) linapenda kuwataarifu wanafunzi na umma kuwa inakamilisha taratibu za uombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 na dirisha litafunguliwa kabla ya Julai 15, 2022.

“Taarifa hii inatolewa kufuatia maombi mengi ya t ........

Read More
21
June 2022

HESLB YAANZA KUWADAI SHILINGI 10.6 BILIONI WALIOKOPESHWA LAW SCHOOL OF TANZANIA

HESLB imesaini mkataba wa makubaliano na Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania), kuanza kudai wanasheria walionufaika na  mikopo, leo Juni 21,2022.

Wanasheria 5,025 waliokopeshwa zaidi ya Shilingi Bilioni 10.6 kama mikopo wakiwa wanafunzi wa Ta ........

Read More
11
June 2022

HESLB YAWAPA ZAWADI WAAJIRI BORA SEKTA BINAFSI DODOMA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) Ijumaa, Juni 10, 2022, imewatambua na kuwapa tuzo maalum waajiri 10 kutoka mkoa wa Dodoma kutokana na kuwasilisha kwa wakati makato ya wafanyakazi wao waliokopeshwa.

Akizungumza katika hafla fupi ya kuwakabidhi ngao, Mkurugenzi Mt ........

Read More