Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

7
November 2025

TAARIFA KWA UMMA

215.3 BILIONI ZATOLEWA KWA WANAFUNZI 66,987

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7,2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajum ........

Read More
25
October 2025

HESLB NA NCAA ZASAINI MAKUBALIANO YA KUIMARISHA UFADHILI KWA JAMII YA NGORONGORO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) zimesaini makubaliano ya ushirikiano yatakayolenga kuelimisha na kuhamasisha wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu taratibu za maombi na urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu pamoja na m ........

Read More
24
October 2025

TAARIFA KWA UMMA

426.5 BILIONI ZATOLEWA KWA WANAFUNZI 135,240

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatato:

Read More
3
October 2025

KIKAO KAZI CHA MAAFISA MIKOPO VYUONI CHAFIKIA TAMATI

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo, Ijumaa Oktoba 03 2025, imehitimisha kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha Menejimenti ya HESLB na Maafisa Mikopo kutoka vyuo vya elimu ya juu na vya kati nchini, kilichofanyika katika ukumbi wa Royal Tughimbe jijini Mbeya.

Ak ........

Read More
2
October 2025

KIKAO KAZI CHA 14 CHA MAAFISA MIKOPO VYUONI CHAFANA MBEYA

Maafisa Mikopo takribani 200 kutoka vyuo mbalimbali nchini, leo wamekutana jijini Mbeya katika kikao kazi cha 14 kilichoandaliwa na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Kikao kazi hicho kilichofunguliwa rasmi na Dkt. Keneth Hosea, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa ........

Read More