Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

22
October 2021

WANAFUNZI 7,364 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 19.4 BILIONI KATIKA AWAMU YA PILI

Ijumaa, Oktoba 22, 2021

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZ ........

Read More
17
October 2021

WANAFUNZI 37,731 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 99.9 BILIONI KATIKA AWAMU YA KWANZA

                    Lengo ni wanafunzi WAPYA 70,000 kwa mwaka 2021/2022

                    Fedha zaanza kutumwa vyuoni

      ........

Read More
5
October 2021

HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO

 

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao.

Ili kupata taarifa za kina kuhusu marekebisho hayo, ........

Read More
15
September 2021

HESLB, TASAF KUWEZESHA WANAOTOKA KAYA MASKINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kuendeleza ushirikiano uliopo ili kuhakikisha watanzania wahitaji wenye sifa za kujiunga na elimu ya juu wanawezeshwa. Read More

1
September 2021

HESLB YAONGEZA MUDA WA SIKU 15 UOMBAJI MIKOPO

Waliopo JKT kupewa fursa kuanzia Septemba 20 hadi 30

Dar es salaam, Septemba 1, 2021

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa uombaji mikopo kwa siku 15 zaidi kuanzia Septemba 1 hadi 15 mwaka huu ili kuwapa fursa kwa waombaji ........

Read More