Home News & Events
The News
TAARIFA KWA UMMA MAOMBI YA MIKOPO 2013/2014
Written by Administrator   
Tuesday, 04 June 2013 17:44

 

1.0            UTANGULIZI

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa mara ya kwanza, Wanafunzi wanaondelea na masomo na Umma kwa ujumla kwamba mchakato wa maombi mikopo kwa mwaka wa masomo 2013/2014 ulizinduliwa rasmi tarehe 1 Mei, 2013.  Mchakato huo unaendelea vizuri na kwamba wanafunzi wengi wameweza kujaza fomu za maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao (OLAS).

Last Updated on Tuesday, 04 June 2013 19:05
Read more...
 
ONLINE LOAN APPLICATION GUIDELINE
Written by Administrator   
Tuesday, 04 June 2013 17:24

1.0       INTRODUCTION

 The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) has streamlined the loan application process through the use of the Online Loan Application System (OLAS). The web based system is for both first time applicants and continuing students.

Interested and eligible applicants are advised to visit the Online Loan Application System at http://olas.heslb.go.tz where they will be able to make online application.  

Applicants are strongly advised to familiarise themselves with the Guidelines for issuance of Loans for the 2013/2014 application cycle before they attempt to apply.  Brochures detailing each step to be followed on OLAS are available online (www.heslb.go.tz), at HESLB Head and Zonal Offices, at all Higher Education Institutions as well as District Education Offices. Prospective loan applicants are strongly advised to read and use them before and during the application process.

 Before one begins the loan application process, one must have the following information:

Last Updated on Tuesday, 04 June 2013 18:12
Read more...
 
MAOMBI YA MIKOPO 2013/2014
Written by Administrator   
Tuesday, 04 June 2013 17:20

MAOMBI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014

 

1.0            Utangulizi

Bodi ya Mikopo inawatangazia wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na Vyuo vya Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2013/2014, wanafunzi wanaoendelea na masomo na Umma kwa ujumla, kuwa imeanza kupokea rasmi maombi ya mikopo kuanzia tarehe 1 Mei, 2013.

Maombi ya mikopo yatafanyika kwa njia ya mtandao kwa kupitia anuani ifuatayo: http://olas.heslb.go.tz. Vipeperushi maalum vyenye maelezo ya jinsi ya kuomba kwa njia ya mtandao vinapatikana kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu, Ofisi za Elimu za Wilaya, kwa Watoa huduma ya Intaneti, Makao Makuu ya Bodi na kwenye Ofisi za Bodi za Kanda. Maelezo hayo pia yanapatikana kwenye tovuti ya Bodi: www.heslb.go.tz.

Last Updated on Tuesday, 04 June 2013 18:16
Read more...
 
WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WATEMBELEA HESLB

Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake na Ustawi wa Jamii katika Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, wametembelea ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Ziara hiyo ya wawakilishi ilifanyika Machi 7, 2012 ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. George Nyatega na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti walikutana na wawakilishi na kuwasilisha taarifa ya utendaji wa Bodi, changamoto wanazokabiliana nazo na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo .

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatoa mikopo kwa wanafunzi wahitaji wanaojiunga na taasisi za elimu ya juu zinazotambulika Tanzania Bara na Zanzibar. Tayari HESLB imefungua ofisi ya Kanda Zanzibar kwa ajili ya kuwahudumia Wanafunzi na taasisi za elimu ya juu zilizoko visiwani humo.

 
HESLB YACHANGIA MAHITAJI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO

Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Dar es Salaam Bibi Theresia Mmbando ameishukuru Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwa kuonyesha moyo wa kuwachangia watanzania wenzao waliokumbwa na mafuriko mwishoni mwaka 2011.

Read more...
 
<< Start < Prev 1 2 Next > End >>

Page 1 of 2
Higher Education Students' Loans Board